Wednesday, January 16, 2013

CHADEMA ilivyo unguruma


 
Maelfu ya wananchi
waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway
Njoro mjini Moshi na kuhutubiwa na viongopzi mbalimbali wa chama cha demokrasia
na maendeleoCHADEMA,wakiongozwa na Dk Wilbroad Slaa.


Vijana wa sarakasi
wakionesha umahiri wao mbele ya Dk Slaa wakati wa mkutano wa hadhara
uliofanyika katika viwanja vya Railway Njro mjini Moshi.
 

Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akiwapongeza Vijana wa Sarakasi
 

Mbunge wa jimbo la
Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiteta jambo na katibu wa chadema mkoa wa
Kilimanjaro Basl Lema ,kulia kwake ni Dk Slaa.
 

Katibu mkuu wa
Chadema Dk Wilbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika
mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway Njoro mjini Moshi

Mbunge wa jimbo la Arumeru
Mashariki Joshua Nassari akihutubia maelfu ya wananchi katiika viwanja vya
Railway Njoro wakati wa mkutano wa hadhara  


Mbunge wa jimbo la
Arusha mjini Godbless Lema akichangisha fedha kwa ajili ya kufanikisha mikutano
ya chama hicho inayoendelea sasa maeneo mbalimbali nchini.

Habari na picha ni kwa hisani ya Jamii forums.

No comments:

Post a Comment