Saturday, November 10, 2012
Wednesday, September 19, 2012
17 MBARONI KWA BIASHARA HARAMU YA BHANGI NA GONGO
JESHI la
polisi mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam limewatia mbaroni watuhumiwa 17 kwakosa la kufanya biashara haramu ya
bhangi na pombe ya aina ya gongo .
Akithibitisha
kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa
Polisi Mkoa Kinondoni Charles Kenyela aliwataja
watuhumiwa hao ni Jonathan Johsoni{ 26 }
,Mashaka Salehe {32}, Ramadhni Abubakari {21}, Paazi Chemba(21),Tajiri
Saumani(32), Inocent Riberty(28),Agnes Andrew(20) na wenzao kumi wote wakazi wa
Dar es Salaam.
Alisema
Kenyela kuwa watuhumiwa hao wamekamatwa katika msako maalumu wa polisi maeneo ya Kigogo,Magomeni, Manzese na
Mburahati, wakiwa na bhangi debe nane na kete 152 pamoja lita 15 za pombe
haramu aina ya Gongo.
Wakati
huohuo watuhuhiwa watano wanashikiliwa
na jeshi la Polisi mkoa wa Temeke kwa tuhuma za kukutwa na puri tano na
misokoto 21 ya bhangi pamoja na lita
sita za pombe haramu aina ya Gongo.
Akithibisha kutokea kwa tukio hilo, kamanda wa Polisi
Mkoa wa Temeke David Misime aliwataja watuhumiwa
hao ni Mchawa Ibrahim(51), Ami Musa(22), Athuman Abdalah (18),Halima Juma(24) na Lusekelo William(18) wote wakazi wa Mtongani Kichanga
jijini Dar es Salaam.
Sunday, August 19, 2012
MABASI YAENDAYO KASI (BRT)
Friday, July 20, 2012
Thursday, July 19, 2012
HAPPY RAMADHAN TO YOU ALL
Wednesday, July 18, 2012
HAPPY BIRTHDAY MADIBA
Sunday, July 15, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)